Online Services
Your Feedback
Tender and Vacancy
Useful Links
 
Capital Development Authority Profile
Wafanyakazi wa CDA wakipita mbele ya Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Rehema Nchimbi - May Day 2014 Wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Ag. Director General, Mr. Paskas Muragili Mitambo mbalimbali ya Mamlaka ikipita uwanjani kuonyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka Mitambo ni moja ya Vifaa vinavyotumika katika kutengeneza miundombinu. Mnara wa Mji Mkuu(Round About) uliojengwa na CDA Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mh. Rehema Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi Bora wa CDA na viongozi mbalimbali wa vyama vya wafanyakazi. Baadhi ya wafanyakazi wakipinda mbele ya Mgeni rasmi, Mkuu wa mkoa wa Dodoma; Mh. Rehema Nchimbi Wajumbe wa Menejimenti baadhi ya Maafisa wa Mamlaka katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya wiki mbili kuhusu ''Change Management and leadership skills''yaliyofanyika katika Chuo cha ESAMI mkoani Arusha. Timu ya Netiboli ya Mamlaka katika picha ya pamoja, baada ya kukabidhiwa Kikombe cha Mshindi wa Tatu katika mashindano ya Mei Mosi 2013 yaliyofanyika mkoani Mbeya. Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu-CDA wakiwa kwenye Maandamano ya Mei Mosi 2014 yaliyofanyika kimkoa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Paskasi Muragili akitoa elimu kwa wananchi katika Eneo la Miganga, Mjini Dodoma. Wafanyakazi wa Mamlaka katika picha ya pamoja baada ya kutembelea Miradi mbalimbali inayofanywa na mamlaka. Moja ya Shughuli zinazofanywa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu ni Utunzaji wa Mandhari ya Mji wa Dodoma na hapa Kitalu cha Miti kilichopo eneo la Mailimbili Mbunge wa Chilonwa Mh. Hezekia Chibulunje akipewa maelezo ya shughuli mbalimbali za Mamlaka katika Banda la CDA kwenye sherehe za Nanenane zilizofanyika kitaifa Nzuguni mkoani Dodoma 2013. Daraja la Mlimwa,ujenzi chini ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (Dodoma) Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw.Paskasi Muragili akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Sera, Uratibu na Bunge juu ya Ujenzi wa Miundombinu inayojengwa na Mamlaka. Moja ya shughuli zinazofanywa na Mamlaka ni kupanga Mji na hapa ni Picha ya anga ikionyesha Mji wa Dodoma ilivyopangika. Eneo ambalo wakazi wa Mji wa Dodoma hulitumia kwa ajili ya mapumziko nyakati za jioni Nyerere Square Dodoma ambalo limejengwa na CDA Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka wakipima viwanja Juhudu za Mamlaka katika kutoa elimu kwa wadau juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa wakati Area A road Construction under Tanzania Strategic Cities Project Moja ya shughuli za ujenzi wa miundo mbinu unaofanywa na CDA

The Capital Development Authority (CDA)


CDA was established by Government Order No. 230 of 1973 under the Public Corporations Act No. 17 of 1969. CDA is a Parastatal Organization which is currently operating under the Prime Ministerís Office and the Minister of State responsible for Policy, Coordination and Parliamentary Affairs is the Chairperson of its Board of Directors.

Members of CDA Board include Permanent Secretaries from relevant Ministries from both Tanzania Mainland and Zanzibar. Also the Member of Parliament for Dodoma Urban is a Member of the Board while the Director of the Dodoma Municipal Council is an invited Member. Read More...

Menu
News

NENO LA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI 2014

Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kote nchini kwa kuadhimisha siku ya wafanyakazi. Ni siku ambayo wafanyakazi duniani kote wanakumbushana umuhimu wa mshikamano na umoja katika kudai na kutetea maslahi na maendeleo yao. Kwa ujumla ni siku ambayo wafanyakazi wanaungana pamoja kutafakari mustakabali wao. Wafanyakazi wanayo kila sababu ya kuisherehekea na kuienzi siku hii adhimu. Ni siku ya kufanya tathmini ya jinsi wanavyotimiza wajibu wao wa kutoa huduma na kuzalisha mali pamoja na kutambua changamoto zinazowakabili na kuweka mikakati ya kuzikabili.
Natoa wito kwa wafanyakazi kufanya kazi kuendana na wakati, kuwepo kwa mageuzi, kufuata taratibu na sharia, kufanya kazi kwa ubunifu, kuwa na utawala shirikishi, kuwa na utawala bora (uwazi, ukweli, ushirikishwaji na uwajibikaji
''UTAWALA BORA UTUMIKE KUTATUA KERO ZA WAFANYAKAZ'' Ö Read More...


 

Capital Development Authority © 2014